Updated Wednesday, April 20, 2016

Utafiti unaonyesha dawa ya Cold na Flu shrink brain na zinapunguza IQ


Wanasayansi walitangaza kwamba, utumiaji wa dawa za cold na flu kama tiba, inaweza kupoteza kumbukumbu na inashusha IQ yako.
Utafiti huu mpya unaonyesha ya kwamba, dawa hizi za kutibu homa ya mafua na baridi zina anti-cholinergic drugs-ambayo ina uwezo wa kubadilisha utendaji kazi wa ubongo, madhara haya kudumu hadi mwezi baada ya kutumia dawa hizi.
Dawa kama Zantac,Night Nurse na Nytol ni miongoni mwa orodha kubwa ya madawa ambayo yanaweza kukusababishia madhara.

Dailymail.co.uk report
Madawa haya yanazuia kemikali ya acetylcholine,ambayo inasaidia transmission of electrical impulses kati ya seli
za neva.

Utafiti unaonyesha dawa ya Cold na Flu shrink brain na zinapunguza IQ Utafiti unaonyesha dawa ya Cold na Flu shrink brain na zinapunguza IQ Reviewed by Bill Bright Williams on 11:12:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.