Updated Friday, April 29, 2016

Twitter yafanya mabadiliko na kuwa Application ya HabariWatoa huduma ya kijamii, Twitter, sasa ni programu ya habari, jukumu walilolipenda toka mwanzo na sasa wanataka wajikite katika swala hilo.
Kampuni hili linataka lijulikane zaidi kwa breaking news stories na sasa wameanza kuamisha matawi yake katika iOS App Store toka social networking to News
Independent walilipoti kwamba:
Kampuni sasa imepiga hatua toka kwenda App Store, na sasa inataka ionekane zaidi kwa ku-download.
Ila imefika wakati wa kuangalia mbele zaidi, na inatupasa kufanya mabadiliko makubwa katika hii tovuti.
Kampuni hii haijasema hadharani kwanini imeamua kufanya haya maabadiliko.
Lakini miongoni mwa mambo mengine,ina maana kwamba Twitter imeshindwa kuwa karibu na makampuni mengine ya kijamii kama Facebook na hizi programu mbalimbali.
Ila kwa sasa itakuwa karibu na mashirika ya habari, ambayo mengi ya mashirika hayo yana programu zao binafsi, na itakuwa rahisi kwa twitter kushindana nao.
Ukikumbuka kampuni ya Twitter ilikuwa ikihukumiwa sana dhidi ya Facebook na mitandao mingine ya kijamii, kwamba ina active users wangapi kwa mwezi na kiasi gani cha fedha inatengeneza  kupitia matangazo, lakini kwa hatua walioamua, haitaweza kulinganishwa tena na mitandao mingine ya kijamii.

Twitter yafanya mabadiliko na kuwa Application ya Habari Twitter yafanya mabadiliko na kuwa Application ya Habari Reviewed by Bill Bright Williams on 10:17:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.