Updated Friday, April 8, 2016

Sababu 3 za kutotumia plastic ya maji zaidi ya mara moja


Matumizi makubwa ya maji ya kwenye chupa ni kile kipindi cha jua kali. Wataalam wanasisitiza kutotumia chupa hizi zaidi ya mara moja, matatizo yanaweza kutokea pindi hiyo chupa utaitumia mara kadhaa.

1.Chupa yenyewe inazalisha vimelea
Wakati wa kipindi cha kiangazi, bacteria wanakuwa wameenea sana katika mazingira, kwa hiyo uangalifu zaidi unahitajika kwa vifaa unavyotumia kwa ajili ya kula na kunywa.
Hatari zaidi ipo kwenye chupa za plastic ambapo tunaweka midomo yetu, ambapo bacteria wanatoka katika kinywa na kuingia katika chupa na kuzaliana zaidi.

2.Joto utoa kemikali hatari
Ili kuzuia kuenea kwa bacteria, chupa za plastic zinatakiwa kuoshwa na maji ya uvuguvugu na 
sabuni.Chupa hizi za plastic katika joto kali inatoa kemikali ambazo ni hatari katika afya zetu

3.Jambo salama kufanya ni kutumia chupa mara moja.
Chupa za maji na jiusi ni vyema zitumike mara moja.

Sababu 3 za kutotumia plastic ya maji zaidi ya mara moja Sababu 3 za kutotumia plastic ya maji zaidi ya mara   moja Reviewed by Bill Bright Williams on 5:26:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.