Updated Thursday, April 21, 2016

Njia nzuri ya kupata movie high quality kwenye mtandao

Jinsi ya kupata free movies kwenye Web
Usipate shida kuna site nyingi sana online ambazo ni bure, kuna kila kitu, kuanzia vipengele vya makala,animated shorts, TV shows na filamu zilizokamilika.
Hakuna haja ya kutumia fedha au kurejea kwa maeneo kinyume cha sheria ili kupata free content.
Hizi ni baadhi ya site ambazo  zitakusaidia kupata unachotaka:


Hulu ni tovuti bora kwa kuonyesh TV-shows.Kama uliikosa tamthilia jana usiku,hapa ni sehemu ambapo utapata ulichokosa.
Hulu ina offer za bure na za kulipia, offer za bure ni kwa TV show za hivi karibuni, na wale wa kulipia
wanaweza kupata hata zile tamthilia za mda mrefu uliopita.


Kama unataka movies na TV shows,Sony streaming website Crackle ina vitu vingi vya bure.Crackle ina vipengele viwili movies na TV shows.Movie nyingi katika tovuti hii ni za kitambo kidogo


SnagFilms ina movie na TV show zaidi ya 10,000,ambazo nyingi ni classic--sio za black and white.
Utapata movie nyingi sana za zamani.


Kama unataka music,clips za kuchekesha na hata movie kamili, YouTube ina vyote hivyo.Ila kama unataka movie 
kamili kwenye youtube, inakugharimu fedha kiasi.


Vimeo ni ya ku-share videos zenye high quality content wakati youtube video zake nyingi zipo low quality

Njia nzuri ya kupata movie high quality kwenye mtandao Njia nzuri ya kupata movie high quality kwenye mtandao Reviewed by Bill Bright Williams on 12:41:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.