Updated Tuesday, April 5, 2016

Kama unatumia Facebook Messenger, unarekodiwa hata kama haupo na simu yako.


Kama unatumia programu ya Facebook Messenger, unaweza ukashituka kwa habari hii. Programu hii inaruhusu kurekodiwa kwa sauti, picha na video zako kwa wakati wowote. Pia programu hii inaweza kuwapigia watu(make a call) kwa niaba yako.
Kama unatumia programu hii, download tena na usome terms of agreement.Ukisoma terms of agreement utagundua kwamba hili kampuni kubwa la kijamii linatumia microphone zao kwa kurekodi sauti, video na picha mda wowote wanapojisikia wao kufanya hivyo.
Kama unatumia Facebook Messenger, unarekodiwa hata kama haupo na simu yako. Kama unatumia Facebook Messenger, unarekodiwa hata kama  haupo na simu yako. Reviewed by Bill Bright Williams on 3:51:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.