Updated Tuesday, April 19, 2016

Jinsi ya kuongeza nafasi katika iPhone yako bila kufuta chochoteUnaona ni jinsi gani iPhone yako inavyozidi kujaa? Mpaka ufute photos,videos na app ambazo zinajaza nafasi.
Usijali kuna njia nzuri ya kuongeza nafasi katika iPhone yako bila hata ya kufuta kitu chochote kile katika simu yako.
Watumiaji wa Reddit wamejaribu ku-share ni jinsi gani watumiaji wa iPhone wanaweza kuongeza nafasi katika simu zao bila ya kufuta chochote, na huu ubunifu umewavutia wengi.
Kama unapendelea kudownload movie, na hauna space ya kutosha, Reddit post inasema, Jinsi ya kuongeza nafasi katika 
simu yako, unashauriwa uende iTune store na jaribu ku-rent a movie yenye ukubwa mkubwa kama movie ya 
Lord of Rings, "War and Peace" ambayo ina 9GB in HD--itakuwa faili kubwa kwa ku-download.Hautaweza ku-download 
kama hauna nafasi kubwa katika simu yako,utapata ujumbe huu"there is not enough available storage to download"
Select 'OK'baada ya hapo nenda kwenye settings.Select General, then go to Storage & iClouds usage, na utagundua 
una nafasi kubwa ya kujazia.
Rudia kufanya hivi kama mara 4-5, na kila hatua unaweza ku-recover 2Gb. Hii ni njia nzuri unaweza kuitumia mara yeyote 
ile upendavyo, ukiishiwa nafasi katika iPhone yako.
Jinsi ya kuongeza nafasi katika iPhone yako bila kufuta chochote Jinsi ya kuongeza nafasi katika iPhone yako bila kufuta chochote Reviewed by Bill Bright Williams on 4:20:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.