Updated Tuesday, April 12, 2016

Hawa ni wanyama hybrid uwezi amini kwamba wapoKuna aina mbalimbali za viumbe vya aina tofauti katika sayari hii, viumbe ambavyo ni halisia, vilikuwepo toka enzi za zamani. Ila watu kutoka sehemu mbalimbali wameanza kuchanganya species za wanyama tofauti wasioendana na kutengeneza kiumbe chenye sifa zote mbili.

Kuna baadhi ya crossbreeds zinaeleweka vizuri. Hawa ni baadhi ya wanyama wa aina mbili tofauti waliochanganywa na kutoka viumbe vya namna hii.
Hawa ni wanyama hybrid uwezi amini kwamba wapo Hawa ni wanyama hybrid uwezi amini kwamba wapo Reviewed by Bill Bright Williams on 9:12:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.