Updated Thursday, April 7, 2016

Aina hii ya vitamin inaongeza kinga ya mwili wako


Utumiaji wa vitamin B3 ina uwezo wa kuongeza kinga ya mwili na kupambana na bacteria.
Utafiti unaonyesha utumiaji wa viwango vya juu wa vitamin B3 una faida kubwa katika mwili wa binadamu.
Niacin ikijulikana kama vitamin B3, inachochea ulinzi wa mfumo wako wa mwili, huku ukizalisha antibodies ambazo zina uwezo wa kuharibu bacteria sugu ambao hawasikii dawa.

Hivi ni vyakula 9 vyenye wingi wa vitamin B3; 
Samaki, Kuku, Ini, Beef, Penuts, Uyoga, Mbegu za alizeti,Green Peas na Avocado.

Tumia hivi vyakula kuimarisha kinga ya mwili wako na kupambana na vimelea vya magonjwa.
Aina hii ya vitamin inaongeza kinga ya mwili wako Aina hii ya vitamin inaongeza kinga ya mwili wako Reviewed by Bill Bright Williams on 4:12:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.