Updated Wednesday, March 2, 2016

Watu wenye sura zinazotisha zaidi

Kuna watu aina tofauti tofauti duniani, sipati picha ukikutana mmoja kati ya watu hawa barabarani tena usiku,hii ni orodha ya watu wanaotisha 

1.Mtu mwenye meno kama Vampire
Picha hii inamuonesha mtu huyu akiwa na meno machache na pua ndogo mno.Hila meno yake yapo kama Vampire

2.Macho kama ya MnyamaMwanamama huyu macho yake yapo kama mnyama.Aa uso na mdomo mkubwa

3.Kichwa kikubwaMtu huyu ni mmoja kati ya watu wanaotisha,ana kichwa kikubwa na mdomo wake haupo kwenye uwiano mzuri

4.Uso wake upo flatAna uso flat.Pua,Mdomo na lips zake karibia zipo sehemu moja

5.Mdomo MkubwaHuyu jamaa anatisha,karibia kila kitu katika uso wake ni kikubwa,kuanzia uso,macho,mdomo,meno hadi ulimi
Watu wenye sura zinazotisha zaidi Watu wenye sura zinazotisha zaidi Reviewed by Bill Bright Williams on 11:15:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.