Updated Saturday, March 26, 2016

Vyakula 5 ambavyo zinasafisha Ini lako


Vyakula vingi vinavyotumika kwa kizazi cha sasa ni vile vya kusindika, kukaanga ambavyo vinafanya ini liweze kufanya kazi nyingi na mara nyingine kuzidiwa.
Kama ini likizidiwa,basi litashindwa kutoa sumu na mafuta kwa ufanisi.
Kuna vyakula vingi vizuri ambavyo vitachochea uwezo wa asili wa kusafisha taka za sumu katika mwili wako.
Orodha hii ni muhimu na inajenga zaidi juu ya vyakula ambavyo vinaweza kusaidia kusafisha ini lako.
Ukitumia vyakula hivi utaweka ini lako katika afya nzuri na kukufanya uwe na afya bora,tumia vyakula hivi angalau mara moja kwa wiki

1.Vitunguu swahumu
Kiasi kidogo tu cha kitunguu swahumu kina uwezo wa  kuamsha enzymes za ini na kusaidia kutoa sumu katika mwili wako.Pia Vitunguu swahumu vina kiasi kikubwa cha allicin na selenium, vitu viwili muhimu kwa kulisafisha ini lako

2.Grapefruit
Ina wingi wa vitamini C na antioxidants,balungi uongeza mchakato wa usafishaji wa ini. Glasi moja tu ya juisi ya Grapefruit itakusaidia kuongeza uzalishaji wa enzymes za ini ambazo zitakusaidia 
kutoa carcinogens na aina nyingine za sumu

3.Beets na Karoti
Ulaji wa beets na karoti utakusaidia kwa ujumla kuboresha shughuli zote za ini.

4.Mboga za majani
Ni moja ya mshirika mzuri wa utakaso wa ini, mboga za majani zina uwezo mkubwa wa kupunguza kemikali za madawa,utumiaji wa mboga za majani ina kinga kubwa kwa ini lako

5.Avocado
Ina madini ambayo yanasaidia mwili kuzalisha glutathione, ambayo ni muhimu kwa kusafisha sumu 
hatari katika ini lakoVyakula 5 ambavyo zinasafisha Ini lako Vyakula 5 ambavyo zinasafisha Ini lako Reviewed by Bill Bright Williams on 3:04:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.