Updated Tuesday, March 1, 2016

Ukiona Mstari Mweusi Kwenye Kucha yako Hii Ndio Maana Yake


Ni vizuri mara uonapo mabadiliko yeyote yasiyokuwa ya kawaida katika mwili wako, kwenda kwa daktari na kufanya uchunguzi
Watu wengi hata hivyo hawajui ishara zenye hatari katika tishu za kucha zao. Aina ya saratani ya kucha ni moja kati ya tatizo kubwa linalowapata Wamarekani wenye asili ya Afika na hata jamii nyingine kwa ujumla
Ni ishara gani zenye hatari unazotakiwa usizichukulie mzaa?
Aina hii ya kansa inatokea kwenye kucha, unaweza kuona mstari katika kucha yako, unaongezeka ukubwa na unazidi kuwa mweusi, ishara hiyo ikijitokeza ni vyema uende ukafanyiwe vipimo, la hasha ila sio kila mstari unaojitokeza kwenye kucha ni kansa ila kama unazidi siku hadi siku si jambo la kupuuzwa
Kama seli za saratani zikagundulika mapema,utoaji wa kucha na seli utaweza kukusaidia,ila kama utachelewa itakusababishi madhara makubwa zaidi
Ukiona Mstari Mweusi Kwenye Kucha yako Hii Ndio Maana Yake Ukiona Mstari Mweusi Kwenye Kucha yako Hii Ndio Maana   Yake Reviewed by Bill Bright Williams on 10:16:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.