Updated Saturday, March 26, 2016

Ujue mti wa ajabu duniani


Mti huu unapatikana katika ukanda wa Himalaya, inasemekana mti huu unaota kwa kupishana kwa 
kipindi cha miaka 20. Mti huu unatoa maua yenye sura kama mwanamke aliye uchi.
Mti huu unaitwa Narilatha kwa kihindi ikiwa na maana maua katika sura ya mwanamke. Pia unajulikana kwa jina la Liyathabara Mala katika mitaa ya Srilanka. Mti huu pia unapatikana nchini Thailand ukiitwa Nareepol.
Mti hii inaota sehemu zenye miteremko huko Himalaya na inaeleweka kwamba kila baada ya miaka 20 ndio mti unazaa maua yenye sura za mwanamke
Hadi sasa haijafahamika kuota kwa aina hii ya mti ina maana gani au imebeba fumbo gani kwa binadamu

Ujue mti wa ajabu duniani Ujue mti wa ajabu duniani Reviewed by Bill Bright Williams on 7:39:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.