Updated Friday, March 4, 2016

Shambulio la Bomu laua Polisi wawili na kujeruhi wengine Uturuki


Maofisa wawili wa polisi wamekufa na wengine 35 kujeruhiwa baada ya gari lililokuwa na mabomu kulipuka Kusini mashariki ya Uturuki katika mkoa wa Mardin.
Mlipuko huo ulitokea katika mji wa Nusaybin,karibu na mpaka wa Syria,hakuna hata kikundi kimoja ambacho kimejitokeza na kusema kimehusika na shambulio hilo
Shambulio la Bomu laua Polisi wawili na kujeruhi wengine Uturuki Shambulio la Bomu laua Polisi wawili na kujeruhi wengine Uturuki Reviewed by Bill Bright Williams on 7:27:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.