Updated Thursday, March 17, 2016

Faida ya Pilipili kwa afya yako


Pilipili ya kijani ina vitamini C mara nne zaidi ya machungwa.
Pilipili  ni moja ya mboga maarufu zaidi duniani, cha umuhimu zaidi ni jinsi mboga hii ilivyo rahisi kukua. Mbali na ladha yake, pia ina uwezo wa kutibu matatizo mbalimbali

Gramu 100 za pilipili safi nyekundu zina asilimia 92 ya maji,gramu 6 za wanga,gramu 0.99 za protini,gramu 0.3 za mafuta na 1.2gm za nyuzi(dietary fibers)

Pilipili za kijani zina vitamin A,C na B6. Ni chanzo kizuri cha uzalishaji wa folic acid,dietary fibers,vitamin B2,pantothenic acid,niacin, potassium, vitamin C, manganese, magnesium na vitamin B.
Pilipili za kijani zina vitamini C mara 4 zaidi ya machungwa na virutubisho zaidi ya 30 kutoka kundi la carotenoids.

Matumizi ya mara kwa mara ya pilipili yatakusaidia;

-Kuboresha kinga ya mwili
-Inaboresha uonaji wa macho
-kulinda dhidi ya saratani ya kibofu
-Inachochea ukuaji wa nywele

Faida ya Pilipili kwa afya yako Faida ya Pilipili kwa afya yako Reviewed by Bill Bright Williams on 11:45:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.