Updated Wednesday, March 16, 2016

Mjue Mwanamke aliejifungua watoto 8 kwa pamoja na wote wakaishi


Anaitwa Nadya Suleman, alijifungua watoto 8, tarehe 26/1/2009 huko Kaiser Permanente Medical 
center,Bellflower,California nchini Marekani
Nadya Suleman alitikisa vyombo vya habari baada ya kujifungua watoto 6 wa kiume na wawili wa kike.
Mwanamama huyu alizaliwa Fullerton, California, ni mtoto wa pekee wa Angela Victoria(mama yake alizaliwa 1940) na Baba yake ni Mmarekani mwenye asili ya Iraq. Wazazi wake walifunga ndoa mwaka 1974 na kupeana talaka 1999.
Mjue Mwanamke aliejifungua watoto 8 kwa pamoja na wote wakaishi Mjue Mwanamke aliejifungua watoto 8 kwa pamoja na wote  wakaishi Reviewed by Bill Bright Williams on 11:49:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.