Updated Friday, March 4, 2016

Mambo ya ajabu yatokea,vyanzo vya maji vyageuka damu


Mto wa Beirut wageuka damu
Ni kitu cha kustaajabisha kimetokea siku ya jumatano baada ya mkondo wa maji kuingiliwa na vitu visivyojulikana.
Bado haijajulikana kwanini mto umekuwa na rangi nyekundu kama damu,mto huo bado ulikuwa ukitiririsha maji yenye rangi ya damu katika bahari ya Mediterranean hadi jumatano jioni

Mto Yangtze umekuwa mwekundu
Mto Maarufu kwa jina la "golden watercourse" nao umebadilika na kuwa na rangi nyekundu,bado haijajulikana nini sababu ya mto huo nao kuwa mwekundu

Ziwa lililopo Ufaransa limekuwa na rangi ya damu
Ziwa la Camargue lililopo kusini mwa Ufaransa limegeuka na kuwa na rangi nyekundu na kusababisha hofu kubwa miongoni mwa watu

Mambo ya ajabu yatokea,vyanzo vya maji vyageuka damu Mambo ya ajabu yatokea,vyanzo vya maji vyageuka damu Reviewed by Bill Bright Williams on 1:57:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.