Updated Wednesday, March 2, 2016

Mambo 10 kuhusu Korea Kaskazini


1.Bangi inaruhusiwa na haijawai kuorodheshwa kama dawa nchini Korea Kaskazini

2.Korea kaskazini ni taifa pekee duniani kuiteka meli ya kijeshi ya Marekani

3.Korea kaskazini huu sio mwaka 2016 ni mwaka 105, walianza kuhesabu baada ya kuzaliwa Kim Il-Sung

4.Korea Kaskazini sio nchi ya Kikomunisti toka mwaka 2009,wana itikadi yao inaitwa  "Juche"

5.Korea Kaskazini ni nchi yenye uwanja mkubwa zaidi duniani, wanaweza wakakaa watu 150,000

6.Kim ll-Sung ambaye ni baba wa taifa la Korea Kaskazini alizaliwa siku ambayo meli ya Titanic 
ilizama

7.Ni zaidi ya miaka 60 sasa,ni Wakorea kaskazini 23,000 walioenda Korea Kusini. Na ni wawili tu wa Korea Kusini walioenda Kaskazini.

8.Mwaka 1974, Kiongozi wa Kaskazini aliagiza magari 1000 aina ya Volvo Sedans kutoka Sweden na hakutoa hela yeyote kulipia magari hayo

9.Korea Kaskazini wao wanatumia mfumo wao wa pekee wa  computer ujulikanao kama Red star OS

10.Mwaka 2013, rais wa Korea Kaskazini alimuua mjomba wake kwa kumtupa akiwa uchi katika kundi la mbwa 120 wenye njaaMambo 10 kuhusu Korea Kaskazini Mambo 10  kuhusu Korea Kaskazini Reviewed by Bill Bright Williams on 11:07:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.