Updated Thursday, March 31, 2016

Kutembea huku unatuma meseji karibia itakuwa kinyume na sheria New Jersey


Watunga sheria wana matumaini ya kupiga marufuku watu wanaokuwa wanajihusisha na mambo mengine wakiwa wanatembea, ikiwa ni pamoja na wanaotuma meseji huku wanatembea.
Muswada huo, ambao utaleta sheria unazuia watu kujihusisha na mambo mengine wakati wanatembea, kwa yeyote atakaekuwa anatembea aangalii mbele yeye yupo busy na simu yake kutuma meseji, anaweza kupata adhabu ya faini au kufungwa jela.
Kutembea huku unatuma meseji karibia itakuwa kinyume na sheria New Jersey Kutembea huku unatuma meseji karibia itakuwa kinyume na sheria New Jersey Reviewed by Bill Bright Williams on 12:44:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.