Updated Wednesday, March 2, 2016

Korea Kaskazini warusha makombora baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa MataifaKorea Kusini imesema Pyongyang imerushwa makombora yake ya umbali mfupi masaa kadhaa baada ya baraza la usalama kupitisha azimio 
Korea kaskazini imerusha makombora sita ya umbali mfupi katika bahari,msemaji kutoka Seoul alisema,masaa machache tu baada ya baraza la usalama kuiongezea vikwazo Pyongyang kwa kile kitendo cha kujaribu silaha zake za nyuklia.

Korea Kaskazini warusha makombora baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Mataifa Korea Kaskazini warusha makombora baada ya vikwazo  vipya vya Umoja wa Mataifa Reviewed by Bill Bright Williams on 11:15:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.