Updated Saturday, March 12, 2016

Johnson:Bidhaa hizi zinaweza kusababisha Kansa


Kama unanunua shampoo maalum kwa ajili ya mwanao, jambo la mwisho la kutarajia ni vile 
visababishi vya kansa vilivyo ndani ya bidhaa hizi. Miaka miwili iliyopita, vikundi vya afya na 
mazigira vimekuwa vikiwataka wale wenye bidhaa za Johnson&Johnson  kuondoa aina mbili za kemikali zenye uwezo wa kusababisha saratani katika ile shampoo yake ya watoto(baby shampoo)

Moja ya kisababishi cha kansa katika baby shampoo ya Johnson ni quaternium-15, pia bidhaa za 
Johnson&Johnson zina  1,4 dioxane zenye uwezekano wa kuwa carcinogen, bidhaa hizi ni  pamoja na;

1.Baby Shampoo
2.Oatmeal Baby Wash
3.Moisture Care Baby Wash
4.Aveeno Baby Soothing Relief Creamy Wash

Kwa mujibu wa CDC 1,4 dioxine henda ikasababisha kansa kwa binadamu na pia ni sumu kwa ubongo wako, mfumo wako wa neva, figo na Ini.

Johnson:Bidhaa hizi zinaweza kusababisha Kansa Johnson:Bidhaa hizi zinaweza kusababisha Kansa Reviewed by Bill Bright Williams on 10:44:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.