Updated Saturday, March 19, 2016

Ijue New world order na amri zake


Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na maneno mengi yakiongelewa juu ya mpangilio mpya wa dunia "New world order" tumesikia wasanii wengi wa nje wakiimba na kushabikia ujio wa New world order.
Kuna jamii ya siri inayojulikana kama "Illuminant" ambayo lengo lao kubwa ni kutawala sayari ya dunia na kuanzisha mfumo wa serikali moja na mfumo wa dini moja. Na pia kikundi hiki wanafanya mambo yao kwa siri sana, hawataki ujue nini kinachoendelea katika hii dunia
Marekani kuna sehemu inaitwa Elbert county,GA kuna sehemu ina muinuko mkubwa kuna jiwe kubwa lenye foot 19 lijulikanalo kama Georgia Guidestone.

Jiwe hili limebaba ujumbe au amri 10 kwa binadamu, amri hizi zimeandikwa kwa lugha 8 tofauti ambazo ni;
1.English
2.Spanish
3.Russia
4.Chinese
5.Hebrew
6.Arabic
7.Swahili
8.Hindi

Kuandikwa kwa miongozo 10 ya Illuminant
Amri hizi zimeandikwa mahususi kwa binadamu ambazo watazitumia hawa Illuminant kuwaongoza watu katika hiyo new world order

Hizi ni amri 10 ambazo zimeandikwa katika mawe hayo ya Georgia
1.Kudhibiti binadamu wawe chini ya watu 500,000,000
2.Kudhibiti uzaaji
3.Kuunganisha binadamu kwa lugha mpya
4.Utawala wa shauku mambo yote pamoja na hasira
5.Kulinda watu na mataifa kwa sheria na Mahakama
6.Lete mataifa yote kutatua migogoro ya utawala ndani ya mahakama ya dunia
7.Epuka sheria ndogondogo
8.Weka uwiano wa haki kutokana na kazi za kijamii
9.Tunzo ya ukweli-urembo-upendo kutafuta maelewanao ya pamoja
10.Usiwe kansa duniani

Amri hizi zimetolewa kwa Illuminant na  vikundi vingine vyenye ushawishi wa kishetani kwa ile nchi ya ahadi walioahidiwa (NWO) 

Hebu tujaribu kupitia hizi sheria

#1.Kupunguza watu
Kudhibiti watu wasizidi milioni 500, kwa sasa dunia ina watu zaidi ya bilioni sita, katika hao watu 
wanatakiwa wapunguzwe hadi wabaki chini ya milioni 500. Watapunguzaje ina maana asilimia 93 ya binadamu watatakiwa wauliwe

#2.Kudhibiti uzaaji
Hii ni moja ya mbinu mbaya wanayoipenda
Kwanini Illuminant wanataka kudhibiti ni nani wa kumuoa na unatakiwa upate nae watoto wangapi
Cha kwanza wameshaua asilimia 93 ya watu na wale waliobakia wanachaguliwa nani na nani waoane, wanaanza weka matabaka,watu muhimu wanaoana na muhimu na wasio na umuhimu nao wao kwa wao

Ushauri wangu kuna mambo mengi yanaendelea nyuma ya pazia watu wengi hawayajui, ni muhimu kutafuta habari jambo lolote likitokea uwe hata kidogo una ufahamu nalo

Ijue New world order na amri zake Ijue New world order na amri zake Reviewed by Bill Bright Williams on 2:13:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.