Updated Sunday, March 6, 2016

Hili ndio limao kubwa kuliko yote Duniani


Limao lenye uzito wa kilo 5.265 ndio limao zito na kubwa kuliko malimao yote duniani.Malimao ya aina hii yanapatikana Kefar Zeitim katika shamba la Aharon Shemoel huko nchini Israel.
Hili ndio limao kubwa kuliko yote Duniani Hili ndio limao kubwa kuliko yote Duniani Reviewed by Bill Bright Williams on 7:48:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.