Updated Wednesday, March 16, 2016

Hatari ya kundi la Bilderberg, na mipango yao ya sasa


Kundi la Bilderberg linalojulikana kwa ushawishi mkubwa juu ya biashara, fedha, siasa za kimataifa,vita na amani na udhibiti wa rasilimali za dunia na fedha zake
Bilderberg wanaunda klabu ya kipekee zaidi duniani. Kamati ya uendeshaji pekee ndio yenye wajibu nani wamualike, Lengo lao kuu ni one world government itakayokuwa inaendeshwa na wasomi wenye madaraka ya juu (elites).

Hizi ni sheria za kamati ya Uendeshaji:

-Mgeni mwalikwa hatakiwi kuja na mke, girlfriend, mme au boyfriend.
Wasaidizi binafsi(kama walinzi,bodyguards,CIA au vikosi maalumu vya ulinzi) haviruhusiwi kuhudhuria mkutano na ni lazima wale katika ukumbi tofauti. Pia wageni hawaruhusiwi kushiriki mahojiano na waandishi wa habari au kuongelea kitu chochote kinachoendelea kwenye mkutano

-Serikali wanahusika na kulinda usalama na kuwaondosha watu wa nje.Moja ya tatu ya wanaohudhuria vikao ni wanasiasa, wengine ni kutoka sekta za fedha, wasomi, kazi na mawasiliano

-Mikutano yao inafuata taratibu na wahudhuriaji wana uhuru wa kutoa maoni yao na kinachojadiliwa kamwe akiwekwi hadharani kwa umma
Wanachama wanahudhuria kila mwaka na wengine wanaalikwa tu kutokana na sababu  ya kuwa na uelewa au maarifa zaidi katika mada husika inayoongelewa.

Malengo makuu ya Bilderberg

-Kundi hili lilibuniwa kwa ajili ya serikali moja (one world government) yenye soko moja la kimataifa, jeshi moja la dunia, fedha moja ya kimataifa ambayo ipo chini ya benki kuu ya dunia.

Pia wanapendelea kuwa na;
-Kitambulisho kimoja cha kimataifa
-Kudhibiti wingi wa watu, kudhibiti akili, kwa maneno mengine ni kudhibiti maoni ya watu
-Mpangilio mpya wa dunia (New world order) ambao hakuna tabaka la kati "ni watawala na watumishi tu na bila shaka hakuna demokrasia
-Jamii isioongezeka/kuzaliana isiyo na mafanikio wala maendeleo, utajiri mkubwa na nguvu zitakuwa tu kwa watawala
-Kutengeneza migogoro na vita visivyoisha
-Kudhibiti mfumo wa elimu na kutoa mafunzo kwa wale waliochaguliwa kwa ajili ya majukumu mbalimbali
-Kudhibiti sera zote za kitaifa na kimataifa
-Kwa kutumia umoja wa mataifa, raia wote wa dunia watatakiwa kulipa kodi kwa ajili ya serikali moja
-kuifanya NATO kuwa jeshi kuu la dunia
-kuweka mfumo wa kisheria kwa wote Hatari ya kundi la Bilderberg, na mipango yao ya sasa Hatari ya kundi la Bilderberg, na mipango yao ya sasa Reviewed by Bill Bright Williams on 2:22:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.