Updated Monday, March 21, 2016

Anza siku yako kwa ndizi na kikombe cha maji ya uvuguvugu


Kifungua kinywa hiki kinahusisha utumiaji wa ndizi moja na maji yenye joto la kawaida, ukipendelea kufanya hivi mara kwa mara utaweza kupunguza uzito kwa kiasi kikubwa, haijalishi ni kipi utakula tena katika milo yako.
Mlo huu unajulikana kama ndizi ya asubuhi,ni mlo mzuri na rahisi kuandaa.
Mlo huu ni mzuri na unafanya kazi vizuri kutokana na kwamba ndizi inachochea digestion na kuharakisha metabolism 
Kitu kingine ni kwamba ndizi ina utajiri wa wanga ambao una kiwango kidogo cha glycemic index
Watu wanaopendelea kula ndizi asubuhi wanashauriwa wale chakula cha usiku saa 2 za usiku 

Huu ni mlo unaoshauriwa kwa afya yako
-Kifungua kinywa
 ndizi
 maji yenye joto la kawaida

-Mchana
chakula unachokipenda

-usiku
Chakula kisichokosa mboga za majani
Anza siku yako kwa ndizi na kikombe cha maji ya uvuguvugu Anza siku yako kwa ndizi na kikombe cha maji ya   uvuguvugu Reviewed by Bill Bright Williams on 6:48:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.