Updated Thursday, February 25, 2016

Zuia Pumu na Juisi ya Limao


Kuna idadi ya watu wapatao milioni 300 duniani kote wasumbuliwao na pumu, ugonjwa huu pia unawapata sana watoto.
Idadi hii inaongezeka kila mwaka hasa katika nchi ambazo zina kipato kidogo

Ni jinsi gani Limao linafanya kazi
Limao lina wingi wa antioxidant na vitamin C, ambavyo vina uwezo wa kudhibiti na kusaidia maambukizi dhidi ya wadudu na bakteria. Pia limao lina uwezo wa 
kuongeza kinga ya mwili. Hizi ndizo sababu zinazofanya limao kutumika kwa miaka mingi kwa ajili ya kutibu matatizo ya meno, maambukizi, matatizo ya kupumua, kuvimba na shinikizo la damu
Juisi ya Limao ina wingi wa citric asidi ambayo inaupatia mwili wako virutubisho muhimu. Pia ina 
imarisha na kusafisha mapafu, kazi hii ni muhimu hasa kwa watu ambao wanakabiliwa na pumu na inasaidia kupata kupumua vizuri

Jinsi ya kutumia limao katika mlo wako
Kunywa maji ya Limao
Weka limao katika maji yako ya kunywa, kunywa mchanganyiko huo badala ya maji ya kawaida. Limao lina uwezo wa kuharibu bacteria wabaya katika mfumo wako wa hewa. Kwa sababu hii itakusaidia kupumua kwa urahisi

Anza siku yako kwa Limao na maji ya uvuguvugu
Anza siku yako na maji ya uvuguvugu yaliochanganywa na limao, kinywaji hiki kitakusaidia kujisikia vizuri na kukuongezea nguvu katika siku yako

Tumia limao kama kiungo katika mchuzi 


Zuia Pumu na Juisi ya Limao Zuia Pumu na Juisi ya Limao Reviewed by Bill Bright Williams on 9:22:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.