Updated Saturday, February 20, 2016

Yajue mambo 10 kuhusu Bundi


Leo utajua mambo mengi ya kuvutia zaidi kuhusu Bundi

1.Kuna cafe ya Bundi(owl cafe) huko Japan,ambapo unaweza kucheza na bundi huku ukiufurahia mlo mzuri
2.Bundi wa sehemu zenye baridi kali ni wakubwa zaidi wana urefu wa inch 20-27,Bundi mzee zaidi wa sehemu zenye baridi anaweza kuishi hadi miaka 9 na miezi 5
3.Bundi anaweza kukaa mabara yote isipokuwa Antarctica

4.Bundi wanaweza kula hadi panya 1000 kila mwaka, wengi wa aina hii ya bundi wanatumiwa na wakulima kudhibiti idadi ya panya mashambani

5.Bundi anaweza akamla Bundi mwenzie,inategemea na ukubwa wa bundi na bundi, Bundi mkubwa anaweza kumla bundi mdogo wa aina nyingine.

6.Kwa aina tofauti za Bundi,majike ni makubwa,mazito na yana fujo zaidi ya madume

7.Bundi wanaona vitu vya mbali,hawawezi kuona vitu vilicho karibu nao.

8.Watu wanaweza kuokoa maisha ya watoto wa Bundi wajane,kwa kuwapa mdori mkubwa wa  Bundi.
 Katika zoo moja huko southhampton, watoto wa Bundi wanaamini dori kubwa waliowekewa kuwa ni mama yao na uwa wanaenda kujikunyata chini ya mabawa ya huo mdori wakijisikia baridi

9.Rekodi za Bundi zilikuwapo toka zamani sana, Bundi mkubwa zaidi katika rekodi alikuwa na urefu wa  ft 3
10.Ndege huyo anatumika sana na tamaduni nyingi kwa imani za kishirikina

Yajue mambo 10 kuhusu Bundi Yajue mambo 10 kuhusu Bundi Reviewed by Bill Bright Williams on 6:09:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.