Updated Sunday, February 21, 2016

Vitu vikupasavyo kujua kuhusu ZikaWatu wengi bado wanapenda kujua kama virusi vya Zika bado vinaendelea kuenea maeneo ya Caribbean ukijumuhisha Mexico, Puerto Rico, visiwa vya Virgin, Jamuhuri ya Dominica na Jamaica
Habari ni kwamba, kwa mujibu wa Kituo cha kupambana na kuzuia Magonjwa, ni mtu mmoja tu kati ya watano ameambukizwa Zika (hasa kwa kuumwa na mbu aina ya aedes) ndio wanaoumwa. Hadi sasa,wale waliopata ugonjwa wakiwa Marekani, walipata maambukizi ya ugonjwa huo walipokuwa nje ya Marekani, ingawa inaonekana virusi vya Zika vinaweza kuenea kupitia ngono.

Ni mara moja tu unaweza kupata ugonjwa huu ukipata na ukipona haujirudii tena kwako.
Tatizo kubwa la ugonjwa huu ni linausika na uzaaji wa watoto mwenye kasoro katika ubongo, hali hii inajulikana kama Microcephaly.

Kama una ujauzito au unatarajia kupata ujauzito, unashauriwa kuto safiri sehemu zenye maambukizi ya ugonjwa huu.
Vitu vikupasavyo kujua kuhusu Zika Vitu vikupasavyo kujua kuhusu Zika Reviewed by Bill Bright Williams on 1:49:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.