Updated Saturday, February 20, 2016

Uturuki kuipiga Urusi kwa siku 7


Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Cavusoglu alijigamba kwenye televisheni kwamba Urusi inapaswa kuwa na hofu sana na wasiwasi kwa Uturuki.
'Tunatoa wito kwa Urusi, ambayo ni moja ya washirika wetu wakuu wa biashara, kukaa kimya, lakini sisi pia tunasema kwamba uvumilivu wetu ni mdogo.'

'Tangu kutokea kwa ajali ya ndege aina ya su-24,Urusi inafanya kila jambo kuidhoofisha Uturuki'
'Ni wazi kuwa serikali yangu utenda vitu kwa kuonyesha ukomavu na uzoefu,lakini uvumilivu wetu una mipaka'

"Kukabiliana na juhudi za Urusi,hatuna woga,hatuna hofu wala kujutia.Sisi utenda kwa kiasi,ili kurudisha uhusiano wetu kama zamani"
"Hata hivyo,kama kuna ulazima,mimi nawahakikishia tunaweza kuiteka urusi ndani ya siku zisizozidi saba tukishirikiana na washirika wetu wa Nato"alionya
Mvutano kati ya Urusi na Uturuki ulianza tangu pale Uturuki kuitungua ndege ya Urusi


Uturuki kuipiga Urusi kwa siku 7 Uturuki kuipiga Urusi kwa siku 7 Reviewed by Bill Bright Williams on 6:07:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.