Updated Tuesday, February 23, 2016

Trump amjibu Papa majibu ambayo hajawai kuambiwa na yeyote mwingine yule
Mgombea uraisi Donald Trump yupo tayari kumpinga mtu yeyote yule hata kama ni Papa
Katika mahojiano na CNN siku ya alhamisi,Trump alimjibu Papa Francis kuhusu swala la mabadiliko ya tabia nchi.

Papa alikuwa anamsaidia Barack Obama katika mpango wa kupunguza uzalishaji wa carbon katika viwanda
Papa alisema alipokuwa Ikulu ya Marekani kwamba swala la mabadiliko ya tabia nchi"ni tatizo ambalo haliwezi kuachwa nyuma katika kizazi kijacho" kwa mujibu wa CNN

Trump yeye yupo tofauti
"Angalia utabiri wa hali ya hewa.Kuna mafuriko mabaya.Sipendi kuangalia habari za jioni,utakuta mara kimbunga kikubwa, mara kuna tornado" alisema kwenye mahojiano

Trump amesisitiza kuwa Marekani haipaswi kuhatarisha makampuni ya ndani ya nchi na hizi kanuni za mamlaka ya mazingira ambazo zinaweza kuhatarisha ajira kwa tabaka la kati na tabaka la chini litakuwa halina pesa kabisa
Trump alisema,"Naamini katika hewa safi,naamini katika maji masafi,na mambo yote hayo,lakini sidhani kama tunaweza kuharibu nchi yetu"

"Kama Marekani ina tatizo la mabadiliko ya tabia nchi,basi ni kutokana na silaha za nyuklia,tuna 
viongozi wasiofaa ambao silaha hizi zipo mikononi mwao. Hiki ni kikwazo kikubwa kwa sasa,"aliongeza kusema Trump
Trump amjibu Papa majibu ambayo hajawai kuambiwa na yeyote mwingine yule Trump amjibu Papa majibu ambayo hajawai kuambiwa na yeyote mwingine yule Reviewed by Bill Bright Williams on 4:34:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.