Updated Tuesday, February 16, 2016

Sumsung Galaxy S7


Ujio mpya wa smartphone aina ya Samsung Galaxy S7 utakuwa na makala kadhaa mpya, ikiwa pamoja na (pressure-sensitive display) kama ile ambayo inapatikana kwenye iphone 6s, kulingana na ripoti iliyochapishwa jumatatu katika wall street journal.

Pia S7 itakuwa na USB Type- C port ambazo zitasaidia uchajishaji wa haraka, camera yenye uwezo wa kutoa picha nzuri sehemu zenye mwanga mdogo.Kama ilivyofanya kwenye Galaxy S6, pia toleo jipya la Samsung litatoa aina mbili tofauti za simu, ambazo ni Galaxy s7 na S7 Edge.

Matoleo mapya ya Galaxy S7 yataanza kupatikana Marekani mwezi wa tatu baada ya kuonyeshwa kwenye  Mobile World Congress huko Barcelona, Spain mwezi wa pili mwishoni.

Sumsung Galaxy S7 Sumsung Galaxy S7 Reviewed by Bill Bright Williams on 4:23:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.