Updated Wednesday, February 24, 2016

Sisi amesema:yupo tayari kumuondoa mtu yeyote yule duniani


Raisi wa Misri amesema, atamwondoa mtu yeyote yule duniani atakae jaribu kutaka kuipindua serikali
Raisi wa Misri amesema kuwa upinzani usio halali kwa serikali ni moja ya jitihada za kuchangia kutaka kuididimiza serikali, Raisi Sisi kawaambia Wamisri kutomsikiliza mtu yeyote zaidi yake

Siku ya jumatano, Raisi Abdel-Fattah el-Sisi alisema kwamba, yupo tayari kumuondoa duniani mtu yeyote yule atakaepanga njama za kupindua serikali
Serikali ya Sisi imekuwa ikikabiliwa na wimbi la upinzani katika majuma yaliyopita juu ya madai ya 
ukatili wa polisi na ukiukwaji wa haki za binadamu

Sisi amesema:yupo tayari kumuondoa mtu yeyote yule duniani Sisi amesema:yupo tayari kumuondoa mtu yeyote yule   duniani Reviewed by Bill Bright Williams on 10:56:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.