Updated Sunday, February 28, 2016

Shambulizi la Al-shababb limeua raia wengi Baidoa


Raia wamekufa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na kikundi cha waasi katia foleni na katika Mgahawa kaskazini magharibi ya Mogadishu
Al-Shabab wanasema wamehusika kulipua gari likiwa kwenye foleni na karibu na mgahawa ulio katika   mji wa Baidoa, na kuuwa watu zaidi ya 17
Mashambulizi hayo ni moja ya harakati za kundi hilo kuendeleza vurugu katika jitihada za kuiangusha serikali inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa
Meja Bilow Nurr ameliambia shirika la habari la Reuters,"Mgahawa na makutano ya barabara watu maeneo hayo walikuwa bize sana na vifo vinaweza kupanda"

Shambulizi la Al-shababb limeua raia wengi Baidoa Shambulizi la Al-shababb limeua raia wengi Baidoa Reviewed by Bill Bright Williams on 10:04:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.