Updated Monday, February 29, 2016

Sababu 5 za kula Tangawizi


Tangawizi inapendwa sana, matumizi ya kiungo hiki yamekuwa na faida sana katika afya zetu
Tangawizi ina uwezo mkubwa wa kutibu madhara mbalimbali na unaweza kutumia kama kiungo kwenye chakula au kinatumika kama dawa

Umuhimu wa Tangawizi ni;

1.Ina uwezo wa kupambana na Saratani
Utafiti unaonyesha kuwa tangawizi ina virutubisho vyenye uwezo wa kuzuia seli za Saratani

2.Ni dawa nzuri kwa kichefuchefu na homa
Tangawizi ina uwezo wa kutibu homa za safari,au kujisikia vibaya asubuhi au kichefuchefu

3.Inasaidia kwa wenye mafua
Matumizi ya mara kwa mara ya tangawizi yanasaidia kukuondolea makamasi

4.Inachochea mzunguko mzuri wa Afya yako
Tangawizi inachochea ufanyaji mzuri wa tishu katika mwili wako, na inapunguza uwezekano wa kupata shinikizo la damu

5.Ina uwezo wa kukupa joto kwenye baridi


Sababu 5 za kula Tangawizi Sababu 5 za kula Tangawizi Reviewed by Bill Bright Williams on 9:41:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.