Updated Thursday, February 25, 2016

Ndege yenye technolojia ya hali ya juu yafanya upelelezi UturukiNdege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria  ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya 
Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria
Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa Syria na Uturuki, Kikosi cha Urusi kina uwezo wa kujua kila kinachoendelea upande wa Uturuki kwa kutumia hiyo ndege yenye uwezo wa hali ya juu
Ndege hiyo ijulikanayo kama TU-214 spy imefika kituo cha Latakia kilichopo Syria siku chache zilizopita
Ndege hiyo ina mfumo mzuri wa kuona vitu vya mbali na rada ambazo zinaweza kufuatilia harakati za kijeshi nchini Uturuki
Tovuti ya Urusi imeweka wazi kwamba inapenda kujua kila kinachoendelea Uturuki

Ndege yenye technolojia ya hali ya juu yafanya upelelezi Uturuki Ndege yenye technolojia ya hali ya juu yafanya   upelelezi Uturuki Reviewed by Bill Bright Williams on 9:44:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.