Updated Wednesday, February 24, 2016

Mnara wenye urefu zaidi ya ule wa Dubai kujengwa katika mji mpya wa Japan


Japan imepanga kujenga mji mwingine mzuri
Katikati ya mji kutakuwa na mnara wenye urefu wa ft 5,577
Utakuwa una urefu mara mbili zaidi ya ule wa Dubai
Unaweza kuhifadhi watu 50,000 na utakuwa na gyms,hotel na huduma za afya
Muundo wake utajulikana kama Sky Mile
Mji huu utakuwa na pembe sita wakiamini pembe sita zina uwezo mkubwa wa kuthibiti upepo
Rifti zake si kwamba zinakuwa nauwezo wa kukupeleka ghorofa moja hadi nyingine,bali zitakuwa na uwezo wa kukupeleka hadi katika chumba chako
Mji huo utakamilika rasmi mwaka 2045,na utakuwa na nyumba 500,000

Mnara wenye urefu zaidi ya ule wa Dubai kujengwa katika mji mpya wa Japan Mnara wenye urefu zaidi ya ule wa Dubai kujengwa   katika mji mpya wa Japan Reviewed by Bill Bright Williams on 10:11:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.