Updated Saturday, February 20, 2016

Mastaa 5 waliostaafu mapema


Hawa ndio Mastaa 5 walioacha fani zao mapema


Kal Penn
Kal Penn alizaliwa mwaka 1977,New Jersey, Marekani. Alipata umaarufu katika ile series ya 
Harold na Kumar akicheza kama Dr.Lawrence kutcher,na pia katika The Namesake 2009,alistaafu kuigiza akaingia katika utawala wa Obama kama Mkurugenzi Mshiriki katika Ofisi ya White House. Mwaka 2010 alijiuzulu kutoka katika wadhifa wake na akarudi kuigiza katika Harold & Kumar 3D christmas,baada ya hapo alirudi tena white house na ajarudi tena kwenye uigizaji hadi leo.Michael Jordan
Michael Jordan alistaafu mwaka 1993 kutoka kazi yake ya kikapu alipokuwa na umri wa miaka 30,ili acheze mchezo wa baseball. Aliacha mpira wa kikau kwa miaka miwili,na alipokuwa na miaka 32 alirudi tena kwenye timu yake ya zamani,baada ya kucheza kwa miaka mitatu alistaafu 1999. Mwaka 2000, Jordan akawa raisi na Washington Wizard, 2001 akarudi tena na akacheza kwa misimu miwili, akastaafu 2003 kucheza mpira wa kikapu mpaka sasa.
Lauryn Hill
Lauryn Hill alikuwa ni mmoja wa mwimbaji katika kundi la Fugees.Mashabiki walimpenda sana,baada ya kutoka kama solo artist alipata mafanikio makubwa katika album yake ya "miseducation of Lauryn Hill"Baada ya hapo Lauryn hakuonekana kwenye macho ya umma zaidi ya 
kwenye maonyesho machache. Lauryn Hill alisema kutoridhika kwake katika sekta ya music na umaarufu ni vitu vilivyomfanya astaafu.


Dave Chappelle
Dave Chappelle anajulikana kwa aina yake ya comedy za michoro. Baada ya kufanya misimu miwili ya show zake, Chappelle aliamua kustaafu,alisema aliamua kustaafu kwa sababu za kimaadili, alisema watu walikuwa hawawezi kutoa taswira kamili kutoka katika michoro yake
Amanda Bynes
Amanda Bynes alijulikana zaidi kama mchekeshaji katika movie za She's the man,what a Girl 
Wants,Hairspray and Easy A.Hata hivyo mwaka 2012,akawa na sifa mbaya na alikimbia kesi ya 
kuendesha gari kwa fujo.Wazazi wake walimpeleka kituo cha afya na mwaka 2013 aliruhusiwa na akaanza kujihusisha na mambo ya mitindo
Mastaa 5 waliostaafu mapema Mastaa 5 waliostaafu mapema Reviewed by Bill Bright Williams on 6:07:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.