Updated Saturday, February 20, 2016

Mama wa Miaka 40 Nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae


Mama apanga kufunga ndoa na mwanae.Mama na mwana wanasema wana mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi sasa, wameamua kuyapeleka mahusiano yako juu zaidi kwa wao pamoja kufunga ndoa.

Kitu kinachoshangaza zaidi ni kwamba mama huyo ajulikanae kwa jina la Betty Mbereko ana mimba ya miezi sita sasa na anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mwanae.Mama huyo kwa jina Mbereko,mwenye umri wa miaka 40 ambaye ni mjane kwa mda wa miaka 12 sasa anaishi na mwanae wa miaka 23 ambaye pia ndio mmewe, mwanae huyo anaitwa Farai Mbereko.
Amedhibitisha kwamba ana ujauzito wa miezi sita na anaona ni uamuzi mzuri kufunga ndoa na mwanae huyo kipenzi

"Alisema nimegharamikia mwenyewe mahitaji yote ya fedha pale mwanangu alivyokuwa anasoma,na hakuna mtu aliyenisaidia,na sasa mnamuona mwanangu anafanya kazi, mnanilahumu eti nafanya vibaya,niacheni nifurahie matunda ya mpenzi wangu, aliyaongea hayo kwenye mahakama ya kijiji.

Mwanae huyo anasema amejiandaa vya kutosha apate kumuoa mama yake na atalipa ile mahali ambayo Baba yake hakuimaliza.
"Najua Baba yangu amefariki bila kumalizia mahali aliyokuwa anadaiwa na yeye yupo tayari kuimalizia alisema. 'Napenda kila mtu ajue kwamba mimi ndio niliempa mimba mama yangu'.

Msemaji wa kijiji hicho amesema kamwe hawawezi kukubali jambo hilo likubalike kwani itakua ni laana kwa kijiji chetu,.."kama ingekua ni zamani hawa watu wangepaswa kuuwawa,lakini kwa sasa hatuwezi kwa sababu tunaogopa polisi na mahakama"alimalizia msemaji huyo wa kijiji.
Mama wa Miaka 40 Nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae Mama wa Miaka 40 Nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae Reviewed by Bill Bright Williams on 3:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.