Updated Saturday, February 20, 2016

Kipande kimoja tu cha kitunguu swahumu,haya ndio matokeo yakeUlishawai kula kitunguu swahumu wakati haujala kitu chochote kingine? Ni jambo moja zuri sana ukitumia kitunguu swahumu kabla ya kula kitu kingine chochote,itakusaidia na kukuondolea magonjwa mbalimbali.

Kwanini ni njema kula kitunguu swahumu kabla haujala chochote?

Moja itakuondolea dalili zozote za kuja kupata shinikizo la damu, itakusaidia kurekebisha vizuri 
mzunguko wa damu na kukuondolea matatizo mengi ya moyo, inachochea ufanisi zaidi wa ini na kibofu cha mkojo

Kitunguu swahumu pia itakusaidia na matatizo mengi ya tumbo, pamoja na kuharisha, pia ina matokeo mazuri katika mfumo wa nerve, pale tu ukitumia asubuhi kabla ya kupata kifungua kinywa.

Pia vitunguu swahumu vinaweza kukuondolea shida ya minyoo na parasites,na inazuia magonjwa ya 
huzuni,kisukari na aina mbalimbali za kansa
Kipande kimoja tu cha kitunguu swahumu,haya ndio matokeo yake Kipande kimoja tu cha kitunguu swahumu,haya ndio   matokeo yake Reviewed by Bill Bright Williams on 10:03:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.