Updated Saturday, February 20, 2016

Ijue tochi yenye mwanga mkali kuliko tochi zote duniani


Kila siku dunia inakuja na mambo mapya. Hivi karibuni Marekani walikuwa wanatafuta njia nzuri ambayo inaweza kusaidia familia zidi ya uhalifu.
Wamekuja na jibu, technologia yao ya hali ya juu, wameweza kutengeneza tochi yenye mwanga mkali kiasi kwamba inakufanya usione kabisa

Inaitwa G700 Tactical Flashlight kwa sasa ni maarufu zaidi na ni chaguo la wamarekani wengi, nguvu iliyonayo hiyo tochi ina uwezo pale ukimmulika mwalifu ubaki ameduaa asione pa kwenda.
Ijue tochi yenye mwanga mkali kuliko tochi zote duniani Ijue tochi yenye mwanga mkali kuliko tochi zote   duniani Reviewed by Bill Bright Williams on 6:23:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.