Updated Saturday, February 20, 2016

Google watakulipa dollar milion moja ukiweka ku-hack browser yaoGoogle imesema itamlipa yeyote yule atakaeweza  kuingia katika mfumo wa browser yao na kusababisha hali ya tahadhari (security threat)
Kutokana na Forbes,chrome imeingia katika international hacking contest iitwayo Pwn2own kwa 
miaka mitatu sasa na haijawai kujaribiwa wala kuwezwa na waharibifu wa mtandaoni, wakati browser nyingine kama Safari, Internet Explorer na Firefox zimeshawai kuvamiwa na waharifu wa kimitandao mara kadhaa

Google wameeleza katika blog post yao kwamba ni jinsi gani hackers wana uwezo wa kuingia katika browser.Pia Google walikuwa wanaelezea browser yao itakuwa ni zaidi ya salama

Je unafikiri utaweza ku-hack chrome,nafasi ni yako
Google watakulipa dollar milion moja ukiweka ku-hack browser yao Google watakulipa dollar milion moja ukiweka ku-hack   browser yao Reviewed by Bill Bright Williams on 6:08:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.