Updated Friday, February 26, 2016

Gari linalopaa litakuwa Hewani 2018


Gari litakalokuwa na uwezo wa kupaa linatarajiwa kuwa limekamilika mwaka 2018, litakuwa na mabawa kama helicopter na spidi yake ni 322km/h. Litasaidia kupunguza foleni kwa kiasi kikubwa
Kampuni la Kimarekani ambalo linahusika na dhana ya utengenezaji wa gari hili linasema litakuwa tayari kwa kuruka miaka miwili ijayo,na litaweza kuuzwa kwa ujumla baada ya miaka nane

TF-X litakuwa na sifa zifuatazo;

Gari hili litakuwa na mabawa mawili na kila bawa litakuwa na injini yake

Injini zitasaidia gari hili kutoka hali ya kuruka likiwa wima(vertical) na kuwa na hali ya usawa
(horizontal position)

Gari ili litakuwa na uwezo wa kuepuka air traffic na hali mbaya ya hewa

Gari hili litakuwa na uwezo wa kuchaji betri yake katika injini yake au katika stesheni za magari ya umeme

Gari linalopaa litakuwa Hewani 2018 Gari linalopaa litakuwa Hewani 2018 Reviewed by Bill Bright Williams on 8:12:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.