Updated Saturday, February 20, 2016

Faida 5 za kunywa maji ya limao kila siku


Kama unatafuta njia nzuri ya kurekebisha maisha yako na afya kwa ujumla, unatakiwa uangalie mbali zaidi. Unywaji wa maji yenye limao ni njia mojawapo yenye faida kubwa katika maisha yako.
Limao lina vitamini C,B,Calcium,iron,magnesium,potassium,enzymes,antioxidants, na fibers.

Hizi ndizo faida za kunywa maji ya limao kila siku;

1.Inarekebisha vizuri mmeng'enyo wa chakula
Juisi ya limao inasaidia kupunguza na kutoa sumu zilizo kwenye mfumo wa chakula

2.Inaongeza kinga ya mwili
Juisi ya limao lina wingi wa vitamini C,ambayo inasaidia kudhibiti kinga ya mwili na kupambana na 
cold na flu.

3.Inaongeza Nguvu
Maji ya limao yatakuondolea hali ya uchovu na kuufanya mwili wako uwe na nguvu wakati wote

4.Linapunguza uzito
Utumiaji wa maji ya limao mara kwa mara yatakupelekea uzito wa mwili wako kupungua

5.Linatumika Kusafisha Mwili
Limao linasaidia kutoa nje sumu zote zilizo katika mwili wako, linachochea ini kutengeneza enzymes nyingi na kufanya kazi vizuri

Faida 5 za kunywa maji ya limao kila siku Faida 5 za kunywa maji ya limao kila siku Reviewed by Bill Bright Williams on 6:21:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.