Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Uganda, Dr Kizza Besigye kutoka chama cha FDC ameshikwa tena na polisi baada ya kuamua kutoka nyumbani kwake na kwenda katika tume ya uchaguzi kuulizia zile form zilizokuwa zinatumika kutangazia matokeo ya uraisi ambazo zilimpa Raisi Yoweri Museveni ushindi.
Ndipo Dr Besigye akashikwa na polisi na kupelekwa katika kituo cha polisi Nagalama katika wilaya ya Mukono ambako anashikiliwa hadi sasa.
Dr Besigye ashikwa tena
Reviewed by Bill Bright Williams
on
4:47:00 AM
Rating:
