Updated Sunday, February 21, 2016

Donald Trump:"Sipendi kushindana na Papa"Donald Trump anaetafuta nafasi ya kupitishwa na chama chake katika nafasi ya kugombea Uraisi wa Marekani amesema hataki vita vya maneno na kiongozi wa kanisa  katoliki duniani
"Mimi sidhani kama nina pambana na Papa, sidhani kama ni mapambano, nadhani hakusema kama vyombo vya habari vinavyoripoti. Nadhani alisikia habari kwa upande mmoja tu ambao ni kutoka serikali ya Mexico"
Trump aliyasema hayo Alhamisi katika mahojiano na CNN
"Papa alisema kitu kwamba Donald Trump sio mkristo" mimi nilishangaa sana kuona hilo; Trump alisema
"Kwa kiongozi wa dini kuhoji imani ya mtu ni kudhalilisha"aliongeza

Papa Fransic alimjia juu Trump pale aliposema kwamba ana malengo ya kujenga ukuta katika mpaka wa Mexico kwamba "sio mkristo"

Donald Trump:"Sipendi kushindana na Papa" Donald Trump:"Sipendi kushindana na Papa" Reviewed by Bill Bright Williams on 11:53:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.