Updated Saturday, February 20, 2016

Donald Trump atamfunga Robert Mugabe akishinda Uraisi


Mgombea Uraisi wa Marekani ambaye pia ni Bilionea, Donald Trump amewaweka kipolo maraisi wawili kutoka Afrika, ambao ni Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe na Raisi wa Uganda Yoweri Museveni kwenye blacklist na kwamba atadili nao endapo atashinda uraisi.

Vilevile Trump ameonya wale viongozi wa kidiktekta ambao wanataka wafie madarakani,kwamba mda wao umeisha, ni mda kidogo tu wapate hukumu yao.Alisema,'Nataka kusisitiza hapa kwamba mimi sina mzaha, tabia yeyote ya kidiktekta inayoonyeshwa na madiktekta duniani kote hasa hawa watu wawili wa zamani ambao ni kutoka Zimbabwe na Uganda.

Mugabe na Museveni lazima wajue siku zao zinahesabika, na kuwa na kwenda kuwakamata na kuwatia gerezani.Kama tawala za zamani za Marekani zimeshindwa, mimi binafsi nitafanya hivyo.
'Mugabe na Museveni wameleta taabu za kutosha hapa duniani,na ni wakati sasa kwa wao mwisho wao kufika, kama Obama anawaogopa, mimi sitawaogopa kamwe,kama Clinton na Bush waliwaogopa, kama papa alijishusha kwao,mimi siwezi kufishusha kiasi hicho.Sitoogopa, na 
ahadi kusafisha yote fujo za kisiasa duniani kote, na kukuza haki za kimataifa
Donald Trump atamfunga Robert Mugabe akishinda Uraisi Donald Trump atamfunga Robert Mugabe akishinda Uraisi Reviewed by Bill Bright Williams on 6:21:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.