Updated Wednesday, February 24, 2016

Donald Trump aahidi kuuambia umma siri iliyojificha nyuma ya shambulio la 9/11Akiongea wakati akifanya kampeni huko Bluffton, SC,Trump aliendelea kuumulika tena uongozi wa Bush baada ya kuibua tena swala la mashambulizi ya world trade 9/11/2001
Alisema tulienda Iraq,ila Iraq haikuhusika na mashambulizi katika world trade center,Trump aliwaambia
"Sio Iraq ambayo ilipanga mashambulizi katika makao makuu ya biashara duniani, tuliimulika Iraq na kuididimiza ile nchi, Iran wakaona sawa" Trump aliongeza kwa kusema

Ila mjue sio Iraq, mtajua ukweli ni nani aliyehusika na mashambulizi ya yale majengo,kwa sababu kuna karatasi ambazo zina siri kubwa, mnaweza kujua labda ni saudia, sawa? Mtajua tu
Lakini nikimuangalia mtu kama Lindsey Graham, wanashikilia vita hivyo viwe vya mda 
mrefu,wanataka waanzishe vita ya tatu ya dunia,Trump alibainisha

Trump alikuwa akimaanisha kurasa 28 za awali zilizokuwa katika uchunguzi wa awali wa 9/11 ambazo zimebaki kuwa siri kwa umma

Donald Trump aahidi kuuambia umma siri iliyojificha nyuma ya shambulio la 9/11 Donald Trump aahidi kuuambia umma siri iliyojificha   nyuma ya shambulio la 9/11 Reviewed by Bill Bright Williams on 3:28:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.