Updated Saturday, February 20, 2016

Dalili za Shinikizo la damu usizozijua


Watu wengi wanatambua  matatizo yanayohusiana na shinikizo la damu. Hata hivyo, watu wengi hawana ufahamu wa dalili mbaya zaidi. Kama shinikizo la damu yako lipo juu, unaweza kutambua hilo
Kama ni kubwa mno unaweza kutambua kutokana na dalili zaidi ya moja katika hizi;

Maumivu ya Kichwa
Kutokuona vizuri
Kutoka damu puani
Kupumua kwa shida
Damu katika mkojo
Kama una kati ya dalili hizi,kamuone daktari mara moja.vilevile virutubisho vya potassium na omega-3 vinaweza kusaidia kupunguza shinikizo la damu

Dalili za Shinikizo la damu usizozijua Dalili za Shinikizo la damu usizozijua Reviewed by Bill Bright Williams on 3:58:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.