Updated Tuesday, February 16, 2016

AT&T Waanza Kuijaribu 5G


AT&T siku ya ijumaa walitangaza mpango wa kuanza kujaribu technologia ya 5G.
5G inatoa ahadi ya kuwashinda kasi mitandao ya wireless ya sasa ikiwa mara 10 hadi 100 kasi zaidi 
kuliko LTE na inaweza kutumika kwa ajili ya matumizi ya internet ya nyumbani.

Kwa kushirikiana na Ericsson na Intel, AT&T kwa kuonganisha jitihada ya pamoja wataileta technologia ya 5G sokoni katika robo ya pili ya mwaka huu.
AT&T Waanza Kuijaribu 5G AT&T Waanza Kuijaribu 5G Reviewed by Bill Bright Williams on 3:24:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.