Updated Wednesday, February 24, 2016

Ajali ya ndege yauwa NepalKATHMANDU,Nepal--Ndege ndogo iliyokuwa na abiria 21 imeanguka na kuuwa watu wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo
Wizara ya anga ya nchini humo imethibitisha kuwa hakuna aliyenusurika katika ajali hiyo
Inasemekana ndege hiyo ilipoteza mawasiliano dakika 18 baada ya kuruka

Ajali ya ndege yauwa Nepal Ajali ya ndege yauwa Nepal Reviewed by Bill Bright Williams on 3:00:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.